simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mabibo External … Ubungo Maziwa

leave a comment »

Ujenzi wa barabara … impressive …

Ni ubabe ubabe tu pale darajani …

Daraja kwa pembeni … uchafu … du!

Sema mwenyewe …

Msongamano hadi kwenye makutano na Barabara ya Mandela

Foleni kibao … unachoma muda … unachoma mafuta … hasara juu ya hasara …

Ni barabara muhimu. Ujenzi unaoendelea ni wa kuunganisha Ubungo Maziwa na Kigogo. Maendeleo ya ujenzi wa barabara si mabaya. Ila kipande cha kinachounganisha Ubungo Maziwa na Mabibo External kimejaa karaha za kupita kiasi. Foleni. Daraja la zamani tena jembamba. Matokeo yake msongamano unaosababishwa na barabara mbovu unasababisha pia foleni na msongamano wa magari katika Barabara ya Mandela. Ikumbukwe pia kwamba pale kwenye makutano ya barabara na Mandela na hiyo ya kuingia ndani kuelekea Ubungo ndio pia mahali pa kuingilia Benjamini Mkapa Export Processing Zone iliyofunguliwa hivi karibuni. Kwa hiyo, msongamano ukizidi sana pale … ni balaa. Tunaweza kubadili hali hii. Tunaweza.

Advertisements

Written by simbadeo

July 10, 2010 at 1:03 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: