simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Sanaa …

leave a comment »

Miaka mitano iliyopita … mitaa ya Mwenge. Sanaa na ajira. Bidhaa hizi zinawalenga zaidi watalii. Endapo zingetengenezwa kwa wingi ili bei ziwe nafuu zaidi, si ajabu na Watanzania walio wengi nao wangezinunua ili kupamba nyumba zao. Kazi za sanaa hutafakarisha … hufikirisha. Unapotafakari na kufikiri … unaendeleza uwezo wako wa kuhoji mambo. Ni katika kuhoji ndipo mtu unaibua fikra na maarifa mapya. Tunahitaji kazi nyingi zaidi za sanaa. Bei itulenge pia wazawa.

Advertisements

Written by simbadeo

June 25, 2010 at 9:41 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: