simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Edwin Mtei …

leave a comment »

Bw. Edwin Mtei akifuatiwa na Bw Freeman Mbowe. Ni Oktoba 2009 katika siku ya uzinduzi wa kitabu cha Bw. Mtei: From Goatherd to Governor.

Bw. Reginald Mengi ndiye aliyekuwa Mgeni Rasmi.

Bw. Freeman Mbowe akibadilishana mawazo na Bw. Jenerali Ulimwengu. Ulimwengu alikuwa mmoja kati ya waliokizungumzia kitabu kilichozinduliwa.

Bw. Mengi na Dkt Martha Qorro wakinunua nakala za kitabu hicho.

Sehemu ya umati uliohudhuria tukio hilo la kuzinduliwa kwa kitabu.

Mawazo, falsafa, fikra na maarifa huhifadhika vema kwa kizazi na kizazi yanapowekwa katika vitabu. Ni wakati sasa senior citizens wachukue fursa na kuandika kuhusu maisha yao, yale waliyoyapitia, mawazo yao, falsafa zao na maoni yao kuhusu masuala mbalimbali ya maisha ya binadamu. Kuandika vitabu si lazima kuhusishe autobiografia peke yake. Unaweza kuweka mawazo yako kupitia riwaya, mashairi, tamthiliya n.k. Shime Watanzania tuandike vitabu kwa wingi na tusome vitabu kwa wingi.

Tukio la uzinduzi wa kitabu cha ‘From Goatherd to Governor: The Autobiography of Edwin Mtei’ lilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa British Council, jijini Dar es Salaam, mwezi Oktoba 2009.

Advertisements

Written by simbadeo

June 25, 2010 at 1:07 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: