simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Daladala … tusemezane

leave a comment »

Daladala. Nimelikuta mitaa ya Kipawa. Ni majira ya saa 2.30 asubuhi. Nafikiri ni wazo zuri. Nionavyo mimi … watu wakizungumza hili na lile ndani ya daladala kutawafanya kuwa karibu, yaani ni njia mojawapo ya kujenga na kuleta mawasiliano. Maisha yamekuwa na mbio nyingi mno. Mbio hizi zimewafanya watu kuishi katika shinikizo kubwa. Stress. Kumbe kuzungumza na kujadiliana hili na lile kutasaidia kuwapunguzia watu stress hizo za kimaisha. Lakini pia kutawasaidia kubadilishana mawazo ya yale yanayoendelea katika jamii yetu: masuala ya siasa, uchumi, michezo na burudani, utamaduni na maadili, dini na hata wengine kiasi cha kufikia kufunga urafiki. Tuzungumze. Tusemezane. Tuwasiilane. Tubadilishane mawazo na fikra. Habari ndiyo hiyo … ni kipindi kipya kupitia TBC.

Advertisements

Written by simbadeo

June 17, 2010 at 9:51 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: