simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Lukuvi … umeona?

leave a comment »

Mzee Lukuvi. Mabadiliko ya sheria za kulinda mazingira ndio. Tunazikaribisha kwa kuwa pengine zitasaidia kuweka jiji na mazingira yake katika viwango bora zaidi vya usafi. Lakini kama inavyojionyesha kwenye picha hizo hapo juu, haya matreka tunayoona yakipita kusomba takataka jijini Dar yana ratiba gani? Kwa nini pipa la taka, ambalo limegharimu fedha nyingi kulifikisha hapo lilipofika, lifike mahali lijae tele mapaka uchafu uanze kusambaa kandokando yake? Hapa kuna watu hawatimizi wajibu wao. Ni wakati sasa ratiba za magari hayo ya kuzoa taka ziwekwe wazi kwa wakaazi wa jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake ili tuwafuatilie. Nawasilisha.

Advertisements

Written by simbadeo

June 13, 2010 at 11:11 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: