simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Gerezani … unapata unachotaka!

leave a comment »

Ni eneo la Gerezani, jijini Dar es Salaam. Hapo ni mahali unapopata kitu chochote kile ukitakacho: spea za magari, pikipiki, kazi za useremala, kazi za umeme, uchomeleaji, mashine za kila aina … ndiyo … Gerezani unapata kila unachokitaka. Pengine ni wakati sasa kuona namna gani Gerezani hii, ambayo imefurika kupita uwezo wake, inaweza kuhamishiwa katika eneo kubwa zaidi lenye nafasi zaidi huko pembezoni mwa jiji … najua wafanyabiashara pale hawatapenda wazo hilo … lakini kwa sasa the place is suffocating.

Advertisements

Written by simbadeo

June 13, 2010 at 11:14 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: