simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

TPH … unaikumbuka?

leave a comment »

Ni Duka na Nyumba ya Uchapishaji Vitabu. Tanzania Publishing House bookshop ipo Mtaa wa Samora karibu kabisa na Sanamu ya Askari. Ukiingia humo utapata vitabu kutoka kwa wachapishaji mbalimbali ulimwenguni. Ni mahali mwafaka pa kutembelea.

Mitaani nako zinafunguliwa Bookshops ndogondogo. Duka hili la Hekima lipo katika lango la kuingilia Shule ya Msingi Hekima, Buruguni, Dar es Salaam. Watanzania tufungue maduka mengi zaidi ya aina hii.

Advertisements

Written by simbadeo

June 11, 2010 at 12:20 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: