simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Performing Art … UDSM

leave a comment »

Idara ya Sanaa za Maonyesho iliyo pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni idara muhimu sana. Lakini umuhimu huo ungepaswa kuonekana zaidi katika kazi zake. Hazipo. Labda mie sijafungua macho sana. Lakini hazionekani. Kwa maoni yangu … ingefaa sana Idara hii ifanye kazi kwa karibu na halmashauri za manispaa na taasisi nyingine mbalimbali ili kufanya kazi ya sanaa ijidhihirishe wazi katika mazingira, mitaa, majengo na kwingineko. Nafikiri juhudi zaidi ya ‘Paukwaaaaa…Pakawa!’ zinahitajika. Ni uchokozi.

Advertisements

Written by simbadeo

June 11, 2010 at 12:07 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: