simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kisarawe … sceneries

leave a comment »

Kisarawe town/Sehemu ya Kisarawe mjini … kivazi hiki!

Truncating a hill to improve visibility at a sharp corner/Kazi ya uchongaji kilima inaendelea ili kusaidia madereva kuona vema kwenye kona hii kali.

Impressive view/Mandhari ya kupendeza

10 kilometres from Kisarawe town, you reach Kazimzumbwi village. I was thirsty and wanted to buy some water. Where can I buy water? I enquired. Step into that ‘hotel’ overthere. Someone responded. I went in./Yapata kilomita 10 kutoka Kisarawe Mjini, unafika katika kijiji cha Kazimzumbwi. Nilikuwa na kiu na nilitafuta mahali pa kununua maji. Kuna mahali wanauza maji hapa? Niliuliza. Ingia kwenye ‘hoteli’ hiyo hapo. Nilijibiwa. Nilijitosa ndani.

If you reside in Dar and want to change sceneries. Visit Kisarawe. Walk. Ride. Drive. I’m sure you’ll feel greatly refreshed and ready to take on a myriad of tasks ahead of you./Endapo wewe ni mkazi wa Dar na ungependa kubadili mandhari. Tembelea Kisarawe. Unaweza kwenda kwa daladala na kutembeatembea. Unaweza kuendesha gari au pikipiki. Nina hakika utajisikia kuburudishwa mno na kujiweka tayari kukabili majukumu mbalimbali yaliyo mbele yako (kwa ufanisi zaidi).

Advertisements

Written by simbadeo

June 10, 2010 at 9:35 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: