simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Dar Landmark …

leave a comment »

Je, ingekuwaje kama mnara huu wa kuongozea meli zinazoingia na kutoka bandarini ungetumika pia kwa shughuli za utalii? Yaani, kunakuwa na mpango maalumu wa kuruhusu watu kulipa na kupanda juu ili kuona mandhari mbalimbali za jiji kutokea hapo? Kwa upande mwingine mpango wa aina hiyo ungesaidia kurejesha gharama zilizotumika kujenga mnara huu na labda ingefika mahali mnara nao ungezaa mwingine somewhere kwenye vilima vya Pugu au Chuo Kikuu n.k.. Just wondering!

Advertisements

Written by simbadeo

June 2, 2010 at 9:56 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: