simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Bunge … hekaheka

leave a comment »

It is June. The heat towards the Parliament Budget Session is building up. Ofisi ndogo za Bunge zilizopo Dar es Salaam zimejaa hekaheka. Wabunge kupitia Kamati mbalimbali ndogondogo za Bunge zinaingia na kutoka. Ni Bunge la lala salama. Wapo Wabunge ambao hii ndiyo mara yao ya mwisho kuingia Bungeni. Ni wakati wao wa kujitathmini ili kuona je kwa muda wote waliokaa Bungeni … wametoa mchango gani katika kuliendeleza Taifa hili … katika kumkwamua Mtanzania wa kawaida kutoka katika maisha duni kwenda katika maisha bora zaidi. Ndiyo. Wanapojitathmini … nasi pia tunawatathmini. Usishangae. Ni haki yetu.

Advertisements

Written by simbadeo

June 2, 2010 at 10:11 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: