simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Ajali …

leave a comment »

Ni majira ya saa 2 usiku, eneo la SIDO kuelekea Vingunguti, Barabara ya Nyerere. Gari hilo lilipasuka tairi la nyuma kushoto. Dereva alipoteza udhibiti wa gari. Aliyumba nalo huku akigonga baadhi ya vioo vya kutazamia nyuma vya magari mengine na hatimaye kuishia kupinduka katika eneo la kati la Barabara hii ya Nyerere.

Zinatokea ajali nyingi sana barabarani. Ajali nyingi pia zingeepukika kama madereva wangeendesha magari yao katika kasi ya wastani. Ajali hugharimu maisha ya watu, husababisha upotevu wa mali, huharibu miundo mbinu ya barabara na vikorombwezo vingine. Tujitahidi kuepuka ajali. Tunaweza kuzipunguza.

Advertisements

Written by simbadeo

May 31, 2010 at 9:30 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: