simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Makhirikhiri … ndani ya Bongo

leave a comment »

Mapokezi yalivyokuwa pale Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.

Kiongozi wa Makhirikhiri alipokelewa na kuvalishwa vazi la heshima la kiutamaduni.

Mapokezi yalikuwa makubwa. Umati ulikuwa mkubwa. Nilijiuliza kwa nini umati mkubwa vile … jibu lake … kwa tathamini yangu: Muziki wanaocheza vijana hawa wa kutoka Botswana unarandana sana na muziki wa asili wa makabila mengi Tanzania. Mguso wa muziki ule unamgusa karibu kila mmoja wetu aliyepata kuuona. Muziki ni lugha ya aina yake. Tunajifunza jambo moja muhimu kutoka kwa vijana hawa: Tuuenzi utamaduni wetu. Tuukuze. Tuutangaze kila mahali duniani. Kwa kupitia utamaduni huo tunaweza kutengeneza ajira nyingi sana kwa vijana. Tutajenga mshikamano kutokana na kuendeleza utamaduni wetu. Tutaleta maendeleo nchini. Utadamuni ndiyo roho ya jamii yoyote. Jamii isiyo na utamaduni ni kama kasha tupu. Asiye na asili ni mtumwa. Tuwashangilie kwa nguvu vijana hawa.

Advertisements

Written by simbadeo

May 27, 2010 at 10:37 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: