simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Dar es Salaam … yazidi kuelemewa

leave a comment »

Jiji la Dar es Salaam lenye wakazi wapatao milioni 4 ndiyo jiji kubwa zaidi nchini Tanzania. Jiji hili limekuwa likikua kwa kasi kubwa. Idadi ya watu inaongezeka sana. Idadi ya magari inaongezeka sana. Pamoja na ukuaji huo … miundo mbinu mikubwa ya msingi bado ni ile ile ya miaka ya 60. Matokeo yake ni kwamba jiji sasa linaelemewa. Usafiri wa umma unazidi kuwa wa shida na wenye adha nyingi. Usafiri binafsi nao unakabiliana na matatizo makubwa ya foleni na msongamano wa magari. Mipango. Nia. Mabadiliko. Mikakati. Vyote vinahitajika.

Advertisements

Written by simbadeo

May 26, 2010 at 11:59 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: