simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Technology and Art

leave a comment »

Kuendelea kwa teknolojia huja kutokana na kuthamini sanaa. Sanaa na Teknolojia ni kama pande mbili za sarafu moja. Ukijaribu upande mmoja bila kukazania ule wa pili hufiki popote. Sana sana utaishia kuiga na hata yale utakayoiga hutayafanya vizuri – utalipua. Hii ndiyo changamoto tunayoikabili. Hatuna budi kuchukua teknolojia na kuipeleka sambamba na sanaa – vyote viwili vikuzwe pamoja.

Advertisements

Written by simbadeo

May 21, 2010 at 2:54 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: