simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Santiago … vivutio

leave a comment »

Bustani zinazotunzwa vizuri kwa ajili ya kupumzika na michezo ya kujiburudisha.

Kazi za sanaa katika mazingira safi … usafi ni moja ya kitu kinachoonekana mara moja hasa kwa kulinganisha na jiji letu la Bongo.

Kazi za sanaa. Jamii inapoenzi kazi za sanaa mbalimbali … hali hiyo hujiakisi hata katika maisha yao ya kila siku … utawakuta wakijitahidi kupanga miji yao … kuthamini uzuri (appreciation of beauty) katika maisha yao ya kila siku.

Ni salama kutembea usiku. Moja ya vitu muhimu vinavyosaidia kuwepo kwa usalama ni pamoja na taa za barabarani na mitaa iliyopangwa vema inayofukuzia mbali watu wenye nia mbaya kujificha. Tunaweza pia.

Advertisements

Written by simbadeo

May 16, 2010 at 7:12 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: