simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Global Voices 2010 Summit

leave a comment »

Deo Simba na Christian Bwaya … miongoni mwa wawakilishi kutoka Tanzania walioshiriki katika Kongamano la Kimataifa la Global Voices Online lililofanyika jijini Santiago, Chile, Amerika ya Kusini.

Moja ya mijadala iliyoendeshwa katika vikundi mtawanyiko.

Mwanadada mshairi mahiri kutoka Kenya, Njeri Wanjiku, alikuwepo pia.

Mtanzania anayeishi Australia, Joe Tungaraza, naye alikuwepo. Hapo alikosekana Baba wa Blogu Tanzania, Ndesanjo Macha.

Moja ya matukio muhimu wakati wa Kongamano hilo ilikuwa uzinduzi wa kitabu ‘Access Controlled’. Pichani ni Ethan Zukerman, Mghana (kama anavyopenda kujiita mwenyewe), ambaye ni mwanzilishi mwenza wa Global Voices Online.

Kulia ni Askofu Mkuu J.B. Odama wa kutoka Uganda. Mwanaharakati wa utandawazishaji ambaye taasisi anayoingoza ilishinda tuzo ya kwanza. Taasisi yake inashughulika kusambaza matumizi ya Internet kaskazini mwa Uganda kwa kutumia umeme wa jua. Harakati hizo zimesaidia sana kuwaunganisha watu wa Guru ambao kwa miaka mingi wamekuwa katika mapigano ya vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Katika moja ya mijadala ya vikundi mtawanyiko.

Advertisements

Written by simbadeo

May 16, 2010 at 6:49 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: