simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Santiago … Ukimya

leave a comment »

Kimya kingi kina mshindo mkuu. Nimekuwa kimya kwa siku kadhaa baada ya kutingwa na mkutano sana na kuwa na shida ya kujiunga na mtandao … lakini yote kwa uzembe wangu mwenyewe. Silaumu uunganishwaji wa kimtandao … silaumu kwamba mkutano ulinishika sana … ni uzembe wangu binafsi. Niwaombe msahama watembeleaji wa blogu hii kwa kutowaletea chochote kwa siku hizi kadhaa. Lakini inshaallah, mambo yatarejea upya hivi karibuni.

Nipo Santiago, Chile, kwa mkutano wa Global Voices Online. Nimepata bahati ya kukutana na Bwaya wa http://bwaya.blogspot.com/ pamoja na Joe Tungaraza wa http://mwandani.blogspot.com/ . Watembelee upate uhondo. Mkutano ulihusu mambo mengi kuhusu uandishi wa kiraia (citizen journalism). Kila mmoja wetu anaalikwa kuwa mwandishi wa kiraia ili kwa pamoja kushirikishana ni kwa namna gani tunaweza kuongeza ubora na kupandisha ubora wa maisha yetu.

Usiache kuitembelea Global Voices Online ili kujifunza ni kitu gani. Ukibofya kwenye google utapata.

Zaidi mwisho wa wiki. Kwa sasa nasema Hola kutoka Santiago, Chile, Amerika ya Kusini.

Advertisements

Written by simbadeo

May 11, 2010 at 2:40 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: