simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Fire na kasheshe ya dimbwi la maji

leave a comment »

Hali ya maji kujaa katika eneo la Mtava, Barabara ya Nyerere, Dar kutokana na kujaa maji kwa siku tatu mfululizo – taswira halisi:

Na maji yalimwagwa huku:

Juhudi za Kikosi cha Zima Moto cha Jiji la Dar es Salaam hakikufua dafu kunyonya maji yaliyojaa barabarani ili kuruhusu msafara wa Rais upite kwa amani … hivyo msafara ulilikoga dimbwi hili.

Labda, swali la kizushi tu … Hivi mitambo hii ya kuzimia moto inaponyonya maji kama haya … machafu … yaliyojaa takataka za kila aina … yenyewe itasalimika kweli? Wataalamu watuelimishe kuhusu jambo hili, maana navyojua mie ni kuwa mitambo imenunuliwa kwa fedha zetu walipa kodi … na ni vema itumiwe kwa matumizi yaliyo sahihi siyo yanayohatarisha uzima wake.

Advertisements

Written by simbadeo

May 2, 2010 at 12:48 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: