simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Muungano … Happy Muungano Day!

leave a comment »

WASOMAJI WAPENZI WA BLOGU HII, NACHUKUA FURSA HII KUWATAKIA NINYI NYOTE SHEREHE NJEMA ZA SIKU KUU YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ULIOZAA TANZANIA. TAIFA HILI LILILOUNGANA LEO LINATIMIZA MIAKA 46. NI UMRI WA MTU MZIMA. NI WAKATI MWINGINE WA KUJITAFAKARI WAPI TUNATOKA, WAPI TULIPO, WAPI TUNAKWENDA. KUNA UPUNGUFU HAPA NA PALE, LAKINI KAMA BINADAMU … HATUWEZI KUWA NA UKAMILIFU WA ASILIMIA 100. TUNAWEZA KUFIKIA ASILIMIA 99.99. TUTUMIE TOFAUTI TULIZONAZO KATIKA KUJARIBU KUKAMILISHANA … KUUNGANA SI JAMBO RAHISI … KUWA PAMOJA KWA MIAKA 46 HALIKUWA JAMBO RAHISI … KAMA TUMEWEZA MPAKA HAPO … BASI TUNAWEZA HATA KWA MIAKA MINGINE 460. IDUMU TANZANIA. UDUMU MUUNGANO. TUDUMISHE AMANI NA MSHIKAMANO HUKU TUKIPIGA VITA ADUI WALE WATATU JUMLISHA MMOJA ANAYETUMENG’ENYA HIVI SASA: MAGONJWA, UMASKINI, UJINGA NA UFISADI.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

MUNGU IBARIKI AFRIKA.

Advertisements

Written by simbadeo

April 26, 2010 at 1:02 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: