simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mpapai dume …

leave a comment »

Enzi za utoto wangu tuliamini kwamba mpapai dume ukiufunga kwa gunzi, basi ulibadilika na kuanza kuzaa mapapai. Juzijuzi nimetembelea kitalu cha miche ya miti pale Banana na kukuta mipapai hiyo miwili. Huo wa kwanza ni dume. Huo wa pili, kwa mujibu wa vijana waliokuwa pale, hapo awali ulikuwa dume lakini baada ya kuufunga gunzi ulibadilika na kuanza kuzaa mapapai kama unavyoyaona. Najua Bongo tuna wanasayansi kibao … hebu watuelimishe kuhusu hili … maana du … nina shika ya kuwa anayeamini ki-Tomaso Tomaso.

Advertisements

Written by simbadeo

April 25, 2010 at 1:18 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: