simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Ujasiriamali … Banana

leave a comment »

Napenda ujasiriamali huu. Made in HAPAHAPA. Safi sana. Ukienda unapata kiatu safi, kizuri, kwa mujibu wa vionjo vyako, vinavyodumu na zaidi sana unachangia katika mzunguko wa fedha yetu humuhumu ndani na hivyo kuiimarisha shilingi yetu. Wateja wake wanatoka Malawi, Congo, Zambia, Comoro na mikoa mbalimbali ya Tanzania. Yupo eneo la Banana, kandokando ya uzio wa Shule ya Msingi Minazi Mirefu. Hutapakosa. Bei zao ni nzuri sana. Viatu kwa ajili ya akina baba, akina mama, wasichana na wavulana … woooote kabisa.

Advertisements

Written by simbadeo

April 23, 2010 at 9:20 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: