simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kivuko …

leave a comment »

Hitaji la vivuko katika barabara kuu ni kubwa. Tumesikia habari za ‘mipango ya kujenga madaraja kwenye makutano ya barabara kuu’ ili kupunguza msongamano wa magari. Ni sawa. Ni habari njema. Lakini lililo la haraka zaidi sasa hivi kutokana na kuongezeka sana kwa waenda kwa miguu ni kuwa na vivuko vya uhakika katika barabara zetu kuu. Pichani ni eneo la taa za barabarani za TAZARA. Tuombe Mungu lisitokee lori lililofeli breki. Ni hatari.

Advertisements

Written by simbadeo

April 23, 2010 at 9:14 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: