simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mombo … kuna vitamu

leave a comment »

1. Tunaweza kuzalisha vingi vilivyo bora – hatua nyingine ni kuhifadhi vizuri hivyo tunavyozalisha kwenye mikebe na kisha haooo tunatawala soko la dunia la matunda … kwa nini tunywe juisi kutoka Uarabuni? Kule ni jangwa tupu … kwa nini sisi tusiweze?

2. Raha jipe mwenyewe – panda mti ufaidi kuvuli, ukipanda wa matunda – unafaidi na matunda. Bongo tambarare.

Advertisements

Written by simbadeo

April 22, 2010 at 1:35 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: