simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Hoyce Temu … Nayakumbuka Yote

with 4 comments

Je, unamkumbuka Miss Tanzania 1999? Si mwingine bali ni Hoyce Temu. Sasa ameandika kuhusu maisha yake.  Ama kwa hakika ukisoma kitabu hicho utaburudika, utaelimika … utaenzika … utatamani nawe kuandika cha kwako juu ya maisha yako kwa ajili ya jamii ya wanadamu. Kitafute. Unaweza kuniandikia ili kupata nakala yako. Au piga simu +255-787-558 448.

Advertisements

Written by simbadeo

April 21, 2010 at 11:46 am

Posted in Siasa na jamii

4 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. uko poa cster na kipindi chako cha mimi na tanzania

  Like

  oliver

  April 7, 2011 at 2:44 pm

 2. Nayakumbuka yote,nakupa tano dada yangu

  Like

  Allan Mnzava

  November 23, 2011 at 5:45 pm

 3. Nakupa tano my sister,nayakumbuka yote.

  Like

  Allan Mnzava

  November 23, 2011 at 5:49 pm

 4. Sawa Hoyce kitabu chenyewe kukipata kamaumeta almas. Ila nakupongeza kwa juhudi hiyo.Tujuze basi na matoleo mengine.Nimefurahi sana kujua maisha yoko.

  Like

  Livingstone Rugema

  February 26, 2012 at 6:05 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: