simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Twiga Cement …

leave a comment »

Panapostahili sifa na pongezi ni vema kuzitoa. Nawapongeza Twiga Cement kwa initiative yao ya kusaidia kutunza usafi wa mazingira katika pembe mbalimbali za jiji la Dar es Salaam. Msukumo huu una manufaa mengi kwa jamii ya Wa-Dar es Salaam. Kwa kuweka suhula za namna hii watu tutaanza kujifunza kuzitumia – maana yake tutaanza kujijengea utamaduni wa usafi na kupenda usafi. Kwa hiyo, licha ya kusaidia kulifanya jiji safi, pia tutajifunza kujisikia kero kuona uchafu unazagaa … maana yake tutaacha kutupa takataka ovyo.

LAKINI hii pia ni changamoto kwa makampuni mengine … hasa yale ya Dar es Salaam, hayana budi kutafuta namna gani wanarejesha japo sehemu ndogo ya faida wanayopata katika biashara zao kwenye jamii.  Kampuni zinazotengeneza bidhaa za plastiki – maji na mifuko laini – hazina budi kuwa mstari wa mbele.

Na sie Wabongo – tusiibe vifaa hivi na kwenda kuuza kama scapper – sote tushirikiane kuvilinda. Again, hongereni Twiga Cement. Hii isiwe mwisho.

Advertisements

Written by simbadeo

April 19, 2010 at 3:14 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: