simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Simba, Simba, Simba … Bingwa

leave a comment »

Ni baada ya kuwafunga watani wao wa jadi Yanga ya Jangwani kwa mabao 4-3 hivyo kuongeza radha ya utamu kwenye ubingwa wao wa msimu huu wa ligi kuu ya Tanzania Bara. Si kawaida sana watani hawa wa jadi wanapokutana kufungana magoli zaidi ya 2, lakini jana tumeshuhudia ile piga nikupige. Simba walianza kwa kufunga goli la mapema, baadaye Yanga wakasawazisha … mambo yaliendelea hivyo mpaka 3-3, lakini ni Hilal Echesa aliyekutana na krosi tamu kutoka kwa Okwi aliyepelekea kilio Jangwani. Ama kwa hakika mechi ilikuwa tamu.

Advertisements

Written by simbadeo

April 19, 2010 at 9:02 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: