simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Simba … Yanga … leo kitimtim

leave a comment »

Kwa takribani wiki nzima si Simba wala Yanga wenye ‘amani’ maana mechi iliyokuwa ipigwe Jumapili iliyopita iliahirishwa mpaka Jumapili ya leo. Mpaka dakika 90 mchezo huu zitakapokuwa zimepita ndipo upande mmoja utapata ‘amani’ wakati mwingine ukiugulia. Simba na Yanga zinashuka zikiwa na rekodi tofauti. Tayari kwa pointi walizo nazo Simba ndiyo mabingwa wapya – hata hivyo hiyo itakuwa rasmi zaidi baada ya ligi kukamilika kabisa. Simba hawajapoteza mechi hata moja tangu waanze ligi hii – hii ikiwa ni rekodi ya aina yake katika soka si Tanzania tu bali hata ulimwenguni kote. Yanga waliokuwa watetezi wa Ubingwa watakuwa wanashuka dimbani wakitaka ‘walau’ kuwafunga watani wao hawa wa jadi. Kazi ipo leo. Mitaa yote ya Dar imejaa bendera za Simba na Yanga. Mungu ijaalie Tanzania amani.

Chunguza, utaona bendera ya Simba.

Advertisements

Written by simbadeo

April 18, 2010 at 1:23 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: