simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Segere … Harusi

leave a comment »

Segere kwa sana likiongoza msafara wa harusi … msafara ulipita mtaani kwetu. Kama kawa kulikuwa na ‘kuzungusha kwa sana’ kwenye gari hilo.

Bila shaka maharusi wametulia ndani … full kiyoyozi ndani ya tinted.

Msafara ulifuatia kwa nyuma. Hii ndiyo Bongo. Tunalamba maisha kwa kwenda mbele hata kama barabara zetu ndiyo kama unavyoziona.

Advertisements

Written by simbadeo

April 18, 2010 at 1:02 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: