simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Bunge…Parliament

leave a comment »

Mkutano wa 19 wa Bunge la Muungano unaanza leo mjini Dodoma. Watanzania tuna matarajio makubwa kwa mkutano huu kama ambavyo huwa kwa mikutano mingine. Tunaamini Wabunge watafanya yale ambayo wapiga kura wao wamewatuma kwenda kufanya … kuhakikisha kwamba Serikali inatekeleza mipango mbalimbali ya maendeleo kwa manufaa ya umma wa Watanzania.

Tungependa kuona maisha ya kila Mtanzania yanachanua, yanapendeza na kuvutia.

Kwamba Mtanzania atatoka katika kilimo hiki duni cha mkono cha kulima mashamba madogomadogo.

Kwamba Mtanzania ataishi katika makazi bora, kwenye maeneo yaliyopimwa na wala si katika maeneo hatarishi kama haya ya mabondeni.

Kwamba zitapatikana barabara bora zaidi kulingana na thamani ya kodi tunazolipa wananchi ambao ndiyo wapiga kura.

Kila la kheri Bunge letu Tukufu.

Advertisements

Written by simbadeo

April 13, 2010 at 9:32 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: