simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

TANESCO … again

leave a comment »

I trust that TANESCO has personnels whose main duty is to carry out inspection of electric infrastructure. Kwa nini nguzo kama hii ikae hivi kwa zaidi ya wiki mbili bila kuonwa na inspekta huyo? Kwa nini isubiriwe mpaka hatimaye ianguke na kusababisha madhara ndipo hatua zinazostahili zichukuliwe? Katika kipindi kama hiki tulicho nacho, ambapo mvua zinanyesha sana, nguzo nyingi huanguka, kwa sababu ya kuoza au aina ya udongo uliopo. Kumbe ni muhimu kwa TANESCO kufanya ukaguzi wa mara kwa mara. Lakini na sisi raia, tunapoona tatizo la namna hii tuchukue hatua kwa kutoa taarifa katika kitengo cha dharura cha TANESCO. Kwa mkoa wa Ilala wa  TANESCO nambari zao za simu ni 022 2133330 au pia +255 784 768586. Tunaweza kupunguza baadhi ya dharura kwa kutoa taarifa mapema. Hapa ni Mongolandege karibu na Daraja la Kinyerezi.

Advertisements

Written by simbadeo

April 6, 2010 at 10:39 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: