simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Milioni 300 au Bilioni 300 …fikicha macho

leave a comment »

Shocking news!

Ni kutoka gazeti la Mwananchi Jumatatu tarehe 22 Machi 2010. Kila nikifikicha macho … bado inasomeka Bilioni 300. Natamani ingekuwa milioni 300. Tanzania inakwenda wapi? Kwa viwango vyovyote kiasi hicho kinachosemekana kimeibwa ni kikubwa mno – hata iwe kule Ulimwengu Ulioendelea – ni kiasi kikubwa.

Wakati huohuo kuna suhula kibao za kutoa huduma za jamii zinazoachwa ‘kuoza’.

Hakuna ajira za uhakika kwa vijana. Walimu na watumishi wengi wa umma hawana makazi bora. Barabara asilimia 90 ni mbovu. Huduma ya maji bado ni duni. Elimu inazidi kudorora. Watu wanalamba shilingi bilioni 300! Sijui walihitaji malori mangapi ili kuzibeba (kama walizibeba physically). Na malori hayo yalipita wapi? Wamezichimbia wapi katika dunia hii? Kuna maswali mengi sana. Kwa kuwa uchunguzi unaendelea ngoja tusikie jinsi swala hili litakavyoishia.

Advertisements

Written by simbadeo

March 24, 2010 at 2:57 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: