simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Soma … kitabu

leave a comment »

Jicho la kamera yetu iliwanasa hawa:

Alikuwa kwenye daladala, tena amesimama karibu na mlango. Utamaduni wa kusoma tunaupa kisogo sana. Watanzania tubadilike. Beba kitabu kila unapokwenda. Ukipata dakika 10 soma kurasa ambazo muda huo utakuruhusu. Kwa nini bwana? Tunaweza. Unaweza.

Ni katika moja ya duka la vitabu kule Morogoro kwenye moja ya nyumba za watawa zilizo eneo la Mlima Kola, Fransarian Brothers. Litembelee. Utafurahia vitabu vya kila aina.

Advertisements

Written by simbadeo

March 20, 2010 at 2:21 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: