simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Harusi…

leave a comment »

Hujiuliza swali moja: Sherehe za harusi …zinaijenga nchi au zinaila nchi? Ingefaa Wanasosiolojia na wanauchumi watusaidie kupitia utafiti.

Ni katika kanisa Katoliki, Parokia ya Ukonga mwishoni mwa mwaka jana. Wanameremeta! Ila, fedha iliyomwagika hapa ingemiminwa katika elimu … labda Bongo ingekuwa mbali zaidi kielimu. Sijui. Tunahitaji kufanya utafiti ili kuelewa hali hii. Matokeo ya kutafiti jambo hili huenda yatatusaidia katika kupanga vipaumbele vyetu. Kila kitu kina umuhimu wake … ila kwa kufuata vipaumbele katika uchumi wa dunia uliotikisika. Nawasilisha.

Advertisements

Written by simbadeo

March 20, 2010 at 2:48 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: