simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Apple…Tufaa

leave a comment »

Ukipita katika makutano ya barabara kubwa katika jiji la Dar es Salaam, si ajabu kukuta vijana wakiuza matunda ya tufaa (apple) kama wanavyofanya kwa bidhaa nyingine nyingi.

Nchi yetu Tanzania ina maeneo ambapo hali ya hewa inaruhusu kustawi kwa miti inayozaa matunda haya. Hoja yangu ni kwamba katika kutekeleza Kilimo Kwanza, kuna umuhimu wa kukumbuka kilimo cha matunda, ikiwa ni pamoja na kilimo cha matunda ya tufaa (apple).

Hakuna sababu vijana wetu kuuza matunda yaliyolimwa na wakulima kutoka nchi nyinge ya mbali (Afrika ya Kusini) wakati ambapo hali ya uchumi wa mkulima wetu hapa nyumbani ni duni. Kumbe basi, ipo haja ya kuhamasisha kilimo cha matunda haya kwa ubora unaotakiwa ili kumkomboa mkulima wetu.

Mti wa tufaa na matunda yake katika moja ya bustani za Maua Seminary community, Moshi, Tanzania. Picha kwa hisani ya Maua Seminary.

Advertisements

Written by simbadeo

March 19, 2010 at 12:09 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: