simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Women-Men: 50-50 inawezekana tangu nyumbani

leave a comment »

Mtindo huu ukiendelea basi lile lengo la kufikia 50-50 litafikiwa bila shaka yoyote. Ila huwa ninakerwa na msemo mmoja tu: Wanawake WAKIWEZESHWA wanaweza. Kwa nini nakereka, wanamsubiri nani AWAWEZESHE? Mie nafikiri ni afadhali wachukue wenyewe jukumu la kuJIwezesha. Maana uKIwezeshwa, unaweza pia kuvuliwa huku KUwezeshwa. Ukijifanyia mwenyewe – hakuna wa kukuvua huko kujifanyia mwenyewe. Ni mawazo yangu.

Ee bwana eh, vipi tena?

Mtu kati. ‘Mtupe haki zetu’.

Advertisements

Written by simbadeo

March 16, 2010 at 4:12 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: