simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kikwangua anga … Mpanda

leave a comment »

Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la Mpanda. Kuna uvumi mjini Mpanda kwamba katika mji huo hairuhusiwi kujenga majengo marefu (ghorofa) kwa sababu chini ya mji huo kuna mahandaki yaliyotokana na shughuli za machimbo enzi wa wakoloni. Sijui ukweli wa jambo hili, wataalamu wa ardhi na machimbo walio katika mji huo wanaweza kutusaidia zaidi. Vinginevyo, kanisa hili ni moja ya vikwangua anga katika mji huo.

Advertisements

Written by simbadeo

March 8, 2010 at 2:57 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: