simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Why? Kwa nini? TAZARA…

leave a comment »

Ni siku ya Jumamosi tarehe 23 Januari 2010. Eneo ni stesheni kuu ya TAZARA, jijini Dar es Salaam. Pamezubaa. Hakuna uhai. Hakuna umotomoto wa kibinadamu. Panatia huzuni.

Hivi kwa nini? Why did we let this happen? How could we have allowed this once prideful symbol of our independence decompose…sink into so much ruin … sink into such degradation?

Why did we let this place that was once full of life, full of activities, activities that generated sources of livelihoods for thousands of homes, become so inactive, lifeless?

Change. We need to change.

Hivi karibuni kulikuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari juu ya Serikali ya China kuwa tayari kuifufua upya reli hii ya ushirikiano kati ya Tanzania na Zambia. Ni habari njema. Lakini tukiri kwamba ni habari ambayo pia inafedhehesha. Ilikuwaje kwamba turuhusu kufikia hali ya kutaka msaada kutoka kwa wengine … hata kama ni marafiki zetu … Kwa nini tuwe wa kupokea tu misaada kila wakati hata kwa miradi na biashara ambazo zingeweza kabisa kujiendesha zenyewe kibiashara na kuleta faida kubwa? Mpaka lini hali hii? Tunahitaji uhuru wa pili … uhuru wa kuwa wawajibikaji … awamu nyingine ya uhuru baada ya ule wa mwanzo uliomwondoa mkoloni mweupe na kumleta mkoloni asiye na sura. Tubadilike.

Advertisements

Written by simbadeo

January 24, 2010 at 5:23 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: