simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Msiba kwa Da Chemi

leave a comment »

MSIBA MKUBWA: DA’ CHEMI AMEFIWA NA MMEWE

Kwa masikitiko makubwa nimepokea ujumbe na kusoma katika blogu ya dada Chemi na ukurasa wake wa Facebook taarifa ya kufiwa na mumewe. Hivi ndivyo alivyoandika katika blogu yake ya Swahili Time:

Wadau, nasikitika kutangaza kifo cha mume wangu, Reverend Douglas G. Whitlow, kilichotokea nyumbani hapa Cambridge, Massachusetts leo asubuhi.

Mipango ya mazishi ninafanya na nitawajulisha mara ikikamilika. Kwa habari zaidi mnaweza kuwasiliana na mimi: Chemi Che-Mponda Whitlow 617-497-4353 au Ezekiel Concord Luhigo 781-632-3605

Subi
NB: Kwa atakaye piga toka nje ya Tanzania tafadhali weka namba namba ya mwito ya nchi +1 mwanzoni mwa tarakimu hizo kumi zilizotolewa.

Mungu aipumzize pema roho ya marehemu Douglas G. Whitlow.

NAKUPA POLE NYINGI DA’ CHEMI. TUKO PAMOJA KATIKA WAKATI HUU MGUMU KWAKO NA FAMILIA YAKO.

Simba Deogratias
Dar es Salaam
Source: Mjengwa Majjid’s blog.
Advertisements

Written by simbadeo

January 19, 2010 at 2:06 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: