simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kwa bei hizi…

leave a comment »

Miundombinu ya nchi kama nyaya za simu, nyaya za umeme, madaraja, alama za barabarani na kadhalika – itapona kweli? Udhibiti wa biashara hii ni muhimu sana. Vinginevyo, tutakuwa tukila hasara kubwa kila mwaka.

Pichani ni moja ya mitaa katika jiji la Dar es Salaam. Kwa wapanga miji – matukio ya kusikitisha kama hili la jana kule Haiti yanatukumbusha umuhimu wa kupanga miji katika namna inayotoa fursa ya kufanya harakati za uokoaji kwa ufanisi. Mpangilio wa jiji la Dar es Salaam hautoi nafasi hiyo. Uchipukaji wa majengo marefu katikati ya jiji unaweza kuwa wa hatari kubwa kwa siku za baadaye. Majanga ya asili hayachagui wapi na lini yatokee – ila ni vema kukaa tayari kwa njia zote daima. Nawakilisha.

Advertisements

Written by simbadeo

January 14, 2010 at 4:39 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: