simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Tabasamu la 2010…

leave a comment »

Pichani juu ni Scola. Mkazi wa Kisarawe. Bila shaka ana haki ya kutabasamu maana kuna shughuli nyingi za maendeleo zinafanyika katika wilaya yake. Mojawapo ya shughuli hizo ni ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka Kisarawe kuelekea Msanga na kwingineko. Tabasamu ni muhimu kwa ajili ya kuwa na afya njema. Tabasamu. Cheka.

Advertisements

Written by simbadeo

January 13, 2010 at 10:55 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: