simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Siku Obama alipoapishwa …

leave a comment »

dscf0027

Kushoto ni Mariam na kulia ni Tatu Daudi. Baada ya harakati za tangu asubuhi, waliamua kujipumzisha pale katika Bustani ya Posta ya Zamani. Asante NBC kwa matunzo ya bustani hiyo. Jiji la Dar linahitaji bustani za aina hii nyingi ili zitoe burudani kwa wakaazi a jiji kila wamalizapo shughuli zao. Wakaazi wa jiji tunakaribishwa kutumia bustani zilizopo na kutunza mandhari hizo pasipo kuzichafua kwa njia yoyote ile.

dscf00212

Kushoto picha ya chini ni Shuku Dominic, mfanya biashara ndogondogo katika eneo la Posta Mpya. Kulia kwake ni mteja wake, Ndg Fidelis Maiko, mkaazi wa Kijichi jijini Dar. Shuku aliendelea na biashara yake kama kawaida katika siku hii ambapo Barack Obama alikuwa akiapishwa kama Rais wa 44 wa Marekani, akiweka rekodi kama Rais wa kwanza wa USA mwenye asili ya Afrika.

Advertisements

Written by simbadeo

January 20, 2009 at 11:18 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: