simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Bonde la Mto Msimbazi …

leave a comment »

Daraja la Kinyerezi kutoka kilimani. Ni bonde la Mto Msimbazi.

Baadhi ya shughuli katika Bonde la Mto Msimbazi ni pamoja na kilimo cha mbogamboga. Mboga hizi ni salama. Wanatumia maji ya chemchem mtoni na si yale ya kutoka kwenye mifereji ya chooni.

 

Baadhi ya maeneo katika Mto Msimbazi kuna changamoto za kimazingira. Mmomonyoko wa udongo. Hii ni kazi ya mto pale unapojaribu kuchonga njia mpya ‘meandering’. Pengine ipo haja kwa serikali na wanamazingira kuchukua hatua za makusudi kabisa kudhibiti hali hii.

Baadhi ya taasisi kama vile Seminary Kuu ya Segerea wamefanya kazi kubwa kudhibiti mazingira katika sehemu fulani ya Bonde la Mto Msimbazi. Kuna msitu mkubwa katika eneo hili lililo kati ya Daraja la Kinyerezi na lile la Segerea.

Advertisements

Written by simbadeo

August 2, 2008 at 5:04 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: