simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Parachichi jijini …

with one comment

 

Lina majina mengi: avacado, parachichi, mbudi, embe mafuta na …. unaweza kuongeza mengine. Ni Buguruni Sokoni Julai 7 2008.

Swali: Nini kifanyike ili kuongeza ubora wa uendeshaji biashara ya matunda nchini? Je, kiwango cha usindikaji matunda kinachofanyika hivi sasa kinatosheleza? Je, watoto wetu waendelee kunywa ‘juice’ zinazotokana na mchanganyiko wa ‘flavours’ za matunda mpaka lini? Je, unywaji wa kinywaji cha aina hiyo hauna madhara (long term) kwa watoto? Sera za kilimo zinasemaje kuhusu hili?

Advertisements

Written by simbadeo

July 8, 2008 at 1:17 pm

Posted in Siasa na jamii

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. Mbona Maparachichi ni braun?/normally Green-Gray) ni quality ya picha, usanii wa mpigaji, quality ya maparachchi, hali ya mwanga picha ilipopigwa au menngineyo? na jua kali hilo ni kwa muda gani hio slow food Maparachichi yanaweza kuhufadhiwa? Unayapenda maparachchi?
    Maoni yangu ni kua juices za fruits zinazokamuliwa kienyeji(na individual local vendors) yanaweza kuleta madhara mbalimbali kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo: kutumia maji machafu katika kutengeneza juice, poor personal hygiene ya mtengenezaji wa juice, wrong storage hasa hasa temperatures and general hygiene. hii ni hasa kwa watoto na watoto wa shule. Short term problems ni kama magonjwa ya tumbo ikiwemo salmonella, dirrhoea, hepatitis A, etc na long term problems in toxicity(kama matunda yamekua trated na chemicals zikiwemo fertilizers and sprays yakiwa shambani), kama matunda ni product ya genetic manipulation especially imported seeds. Health problems in this case can be inherited and long term i.e can destroy genetic information of children and their generations for generations!

    Like

    Bi Hayat

    August 24, 2009 at 6:52 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: