simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Matangazo yanapogeuka uchafu …

leave a comment »

Hivi kwa nini mnaweka matangazo yenu ya vitambaa barabarani kisha baada ya tukio kupita mnayaacha matambaa hayo kuchakaa palepale mlipoyaweka? Ni tabia gani hii? Kwa nini mnachafua jiji letu kwa makusudi? Kwanza niwaulize, mnalipia kodi matangazo hayo? Kama mnakumbuka kuyaweka siku kadhaa kabla ya tukio, kwa nini mnasahau kuyaondoa siku chache baada ya tukio lenu? Kwa nini? Hii si tabia nzuri. Mnatuchafulia jiji letu. Tayari tunao uchafu wa kutosha, kwa nini nanyi mnaongezea? Chondechonde, manispaa, jiji na mamlaka zingine, chukueni hatua kudhibiti vitendo hivi.

 

Advertisements

Written by simbadeo

June 30, 2008 at 11:12 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: