simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mnazi Mmoja Garden … Uhai mpya?

leave a comment »

Bustani maarufu ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kwa miaka mingi bwawa hili lilikuwa kavu. Lilipoteza nuru. Sasa kuna maji na uhai mpya unarejea. Kivuli mwanana hata kwa askari wanaolinda hapa. Unaweza kumwona mmoja aliyejipumzisha kwenye picha ya pili.

Hata hivyo, bado kuna mengi ya kufanya ili kufanya bustani hii iwe mahali pa kutoa faraja kwa wakazi wa jiji hasa wakati wa jua kali. Inawezekana kufanya vema kuliko hatua iliyofikiwa sasa. Pongezi kwa ufufuzi huu.

 

Advertisements

Written by simbadeo

June 25, 2008 at 11:09 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: