simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Hassanali na Mitindo House … mmeona?

leave a comment »

Anaitwa Moses. Anasema yeye ni designer wa mavazi, yaani mbunifu wa mavazi. Tumezoea kusikia majina makubwa katika fani hiyo hapa nchini kama vile Mustafa Hassanali na wengineo kutoka Tanzania Mitindo House.

Tofauti na wenzake hao, Moses, au Moz X kama lebo yake inavyokwenda, yeye anapenda kubuni mavazi kwa ajili ya vijana. Pichani yupo kwenye moja ya vazi alilobuni. Material aliyotumia ni ‘viroba’ vilivyotumika vya kuhifadhia unga unaozalishwa na kampuni moja maarufu hapa nchini, Azam. Kama anavyoonekana pichani, kuanzia kiatu, begi, suruali, top na hata kofia, vyote vina ‘a touch of Azam’ viroba.

Anapendeza. Anameremeta. Hapa nilikumkuta akitembea Barabara ya Nyerere. Anasema anapatikana Kimara Resort. Unaweza kumtafuta pale.

 

Advertisements

Written by simbadeo

June 20, 2008 at 11:03 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: