simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mtoto wa Afrika …

leave a comment »

Ni siku ya Mtoto wa Afrika. Bado watoto wa Afrika wapo gizani. Wale wenye wajibu wa kuwaletea mwanga wamejaa ubinafsi uliojaa ufisadi, uzandiki na ufedhuli. Matokeo yake kila kukicha ‘matumaini ya mtoto wa Afrika’ nayo yanafifia, afadhali ya jana.

Tuwape watoto haki wanazozistahili kama binadamu kamili. Tusikilize mawazo yao. Tuishi hivi sasa kwa ajili ya kuwafanyia maisha bora sasa na baadaye.

Tuna wajibu. Wajibu usiokwepeka. Historia ndiyo itakayokuwa jaji wetu.

 

Advertisements

Written by simbadeo

June 16, 2008 at 7:36 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: