simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Zana za kazi … njia za uzalishaji

leave a comment »

Kutokana na zana hizi:

Serikali inapata kodi mbalimbali. Watoto wanakwenda shule. Familia zinapanga nyumba. Familia zinajenga nyumba. Michango ya harusi inapatikana kutokana na zana hizi. Fedha za kusaidia ndugu na jamaa katika familia na kijijini zinapatikana kutokana na zana hizi. Biashara moja inaweza kuwa kitovu cha mambo mengi sana. Je, kuna namna ya kuongeza ubora wa zana hizi?

Tutafakari kule tunakoenda.

Advertisements

Written by simbadeo

June 11, 2008 at 7:58 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: