simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Roho mkononi …

leave a comment »

Hapo kama hujui kuogelea. Roho iko mkononi. Ni moja ya pantoni za kuvusha watu kwenda na kutoka Kigamboni, Dar es Salaam. Imechakaa. Sana. Kwa nchi yenye utajiri wa maliasili kama vile madini, mbuga za wanyama, misitu, milima n.k. tunastahili kuwa na vyombo bora zaidi. Inawezekana. Kinachohitajika ni utashi wa kweli na kuruhusu ‘professionalism’ kufanya kazi inavyostahili. Vyombo tunavyotumia kuvuka hapa vimechakaa. Tufanye mpango wa kuleta vingine vilivyo bora zaidi kabla hatujakumbwa na maafa. Kinga ni bora kuliko tiba.

Advertisements

Written by simbadeo

June 11, 2008 at 8:25 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: